.Mradi huo mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa maji mjini Karatu unasimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Jijini Arusha (AUWSA). Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN.
Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe mwishoni mwa wiki alitembelea mradi wa
maji wa dharura Karatu Mjini kuona utekelezaji wake.
No comments:
Post a Comment