Pages

Thursday, February 20, 2014

WAZIRI WA BIASHARA WA UHOLANZI ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM



Meneja wa bandari Awadhi Masawe akimsikiliza waziri wa biashara ya nje kutoka uholanzi  wakati alipotembelea bandari ya Dar es salaam le kushoto ni kaim mkurugenzi wa bandari Madeni kipande


Waziri wa Biashara ya nje kutoka nchini Uholanzi Lilianne akisisitiza jambo kwa meneja wa bandari  Awadhi Masawe wakati alipotembelea bandari ya Dar es salaam kuangalia sehemu picha akitoka katika sehem ya KOJ wanakopakia  mafuta na kupokealeo waziri huyo alifuatana ujumbe wake ambao ni wafanyabiashara

No comments:

Post a Comment