Pages

Sunday, February 16, 2014

WITNESS ATANGAZA RASMI KUINGIA BONGO MOVIE

943546_10200961645074556_1371128343_n
Anaitwa Witnesz kati ya wasanii wa kike wanaofanya mziki wa Hip Hop hapa Tanzania, dakika chache zilizopita alipost kitu kwenye account yake ya Facebook juu ya kuingia kwenye Bongo Movie.
“Tsup ma pipoo ninatangaza Rasmi ya kwamba this year mbali na shughuli za kimuziki pia nitakuwa ninaigiza na kwa kuanza nitakuwepo kwenye Tamthilia inayo itwa Salt en sugar ni Tamthilia inayoigizwa na wabongo ila kwa kutumia Lugha ya kiingereza mwanzo mwisho, na kuanzia next week Nitaanza Tour ya mashuleni ambapo tutaanza na Dr Didas pamoja na St anthony na kwa anyetaka kununua album compilation ya video zangu itakuwa available na itauzwa kwa affordable price 5,000 only na kwa watu wengine mwaweza kuoder that album kwa the same price hadi nitakapo maliza tour mwanzoni mwa April na kutakuwa na videos kumi pamoja na 2bonus videos 0787 609090 much love!”

No comments:

Post a Comment