Bunge Maalum la Katiba Limekutana
Jioni Hii kuendelea na Shuguli zake Lakini Mvutano Mkubwa Umejitokeza
Hali iliyosababisha Vurugu Iliyoambatana na Kuzomea Zomea,Mvutano Huo
Uliibuka Pale Mjumbe Mh Tundu Lissu Aliposimama kuomba Muongozo Kuhusu Marekebisho ya Kanuni Ambayo Tundu Lissu anamtuhumu Mwenyekiti wa Bunge Mh Samweli Sitta Kupitia Kamati ya Uongozi kuleta Marekebisho Ya Mabadiliko ya Kanuni Kinyume cha Kanuni zilizopitishwa na Bunge Hilo la Katiba Wakati wakijadili na Kupitisha Kanuni za Bunge Hilo.
Mwenyekiti wa Bunge Hilo Mh Samwel Sitta Aliingilia Kati kujaribu Ufafanuzi Pamoja na Wajumbe Wengine Akiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh Jaji Fredrik Warema Lakini
hali ya Kuzomea Iliendelea Ndipo Mwenyekiti wa Bunge Hilo Alipolazimika
Kuliahirisha Bunge Hilo Mpaka Kesho na Kuamuru Mapendekezo ya
Mabadiliko HayoMabadiliko hayo Yapelekwe kwenye Kamati Ya Kanuni Kajili
ya Maamuzi ili Yaweze Kuwasilishwa Katika Bunge Hilo.
MKUU WA MISHENI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI YA SADC NCHINI MSUMBIJI AENDELEA
KUKUTANA NA WADAU WA UCHAGUZI NCHINI MSUMBIJI
-
Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe.
Dkt. Aman...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment