Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman,Pemba.] Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vitongoji jirani na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza baada ya kuzindua rasmi Mradi wa Umeme katika Kijiji hicho kiliopo Mkoa wa Kaskazii Pemba leo. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]
Wanafunzi wa Skuli ya Ukunjwi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua rasmi Nishati hiyo leo, [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.] Naibu Katibu wa Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi,akisoma Ripoti ya Wizara wakati wa uzinduzi rasmi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vijiji Jirani wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme uliofanyika leo Kijijini hapo Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]
TANZANIA YAPONGEZWA KUWA KINARA WA MASUALA YA AMANI NA USALAMA UKANDA WA
MAZIWA MAKUU
-
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongezwa kwa kuwa kinara katika masuala
mbalimbali yanayolenga kuleta amani na usalama katika Ukanda wa Maziwa
Makuu.
P...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment