Wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba,Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward Lowassa (katikati), Andrew Dhenge
(kulia) na James Mbatia wakiteta, bungeni jini Dodoma machi 31,2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba
na Maspika, Anne makinda wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(kushoto) na Pandu kificho wa Baraza la Wawakilishi wakiteta, Bungeni
Mjini Dodoma Machi 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Zakia Meghji(kushoto) na Christopher Ole Sendeka(kulia) wakijadiliana
leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza
kupitia rasimu ya Katiba mpya.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne
Makinda (kushoto) na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Namelok Moringe Sokoine (kulia) wakibadilishana
mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika vikao vya Kamati
mbalimbali za kupitia vifungu mbalimbali rasimu ya Katiba mpya zoezi
ambalo limeanza leo .
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
James Lembeli (kushoto) na Mchungaji Peter Msigwa (kulia) wakijadiliana
leo mjini Dodoma kabla ya kuelekea katika Kamati zao kwa ajili ya kuanza
kupitia rasimu ya Katiba mpya.
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment