Na. Ismael Mohamed: Watu wawili wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa hospitali na kupelekwa Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10 wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!..
TRA na Mabenki Wakutana Kukuza Ushirikiano wa Kodi
-
Na. Mwandishi wetu, Dar es Salaam
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea kukuza ushirikiano na wadau
mbalimbali wa kodi ambapo leo kwa kushirikina na ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment