MTUNISI ATOA TAMKO KWA VIJANA WANATAKA KUINGIA KWENYE TASNIA YA FILAMU
AKIONGEA NA MTANDAO WETU HUU WA DJ SEK MTUNISI AMESEMA KUWA VIJANA WANAOTAKA KUJIUNGA NA TASNIA YA FILAMU WANATAKIWA KUWA SILIAS SANA NA KAZI
WAACHE MCHEZO MCHEZO KWA KUWA SANAA NI NGUMU NA INA CHANGAMOTO NYINGI SANA.
MTUNISI AMESEMA KWAMBA VIJANA WENGI WANA PENDA KUONGEA SANA BILA KUFANYA KAZI NA
HAWAJITUMI MATOKEO YAKE WANAONGEA MAJUNGU KILA SIKU KWA KUONA WENZAO WAMEFANIKWA. ANAWAASA VIJANA
WAJITUME WANAPOPEWA CAST NA WASILEWE UMAARUFU, UMAARUFU HAUJI KWA
KUJISIKIA NI KUFANYA KAZI NZURII NA KUJITUMA SANA NAWAPA DARASA VIJANA
ILI WASIJE WAKAICHAFUA TASNIA IKAWA INAZUNGUMZIWA VIBAYA KWA TABIA YA
WATU BINAFSI.
No comments:
Post a Comment