Pages

Saturday, March 29, 2014

TAZAMA ALICHOPOST NYOTA WA ARSENAL KUHUSU TANZANIA.


Screen Shot 2014-03-29 at 2.33.53 AMHaijajulikana Podolski alipataje hizi picha ila huyu hapa chini ni Mtanzania alievaa jezi ya staa huyu wa Arsenal ambapo hiki kitendo kimemfanya Podolski kumsifia huyu shabiki kwamba jezi imemtoa freshi na kuitakia kila la kheri Tanzania.
Screen Shot 2014-03-29 at 2.21.16 AM Screen Shot 2014-03-29 at 2.21.24 AM 
Hiyo hapo juu ni kwenye instagram ambapo picha hiihii pia aliipeleka kwenye page yake ya twitter.

No comments:

Post a Comment