Pages

Saturday, March 29, 2014

PICHA ZA WACHEZAJI WA YANGA WALIPOALIKWA NA MKUU WA WILAYA YA BAHI "BETY MKWASA"


Geroge Manyama - Yanga Excom akitoa shukrani wa mkuu wa Wilaya Bahi pamoja wana mji wa Bahi

Mkuu wa Wilaya akiongea
Vijana wakihusika na msosi

ni msosi na matunda
chakula safi cha siku hiyo hiyo
Mama aliwapa zawadi vijana nyama za kuchoma, maji, soda, juice, karanga za kuchemsha, wine nk
Mkuu wa Wilaya Bahi - Betty Mkwasa akiwa na wachezaji wa Yanga

No comments:

Post a Comment