Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, ( mwenye miwani) na ujumbe wake kutoka Mkoa wa Mara na Dodoma baada ya kuwasili na jeneza la mwili wa Marehemu John Tupa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara , nyumbani kwake Mjini Kilosa, mkoani Morogoro , Machi 28, mwaka huu kwa ajili ya mazishi.
Picha zote na John Nditi
|
No comments:
Post a Comment