Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13)
mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na
kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza
jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga na leo
anatarajia kuhitimisha ziara hiyo(picha na Freddy Maro)
TCB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA, YAWAKARIBISHA WAFANYABIASHARA
-
BENKI ya Biashara Tanzania(TCB) imezindua Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa
kuwakaribisha wafanyabiashara kutumia huduma zao ili kuweza kukua zaidi
kwakuwa wap...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment