Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13)
mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na
kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza
jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga na leo
anatarajia kuhitimisha ziara hiyo(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment