Pages

Monday, March 31, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI UINGEREZA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Ruthanne Chipeta mara baada ya kuwasili jijini London Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza


Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Tobiko Kallaghe mara baada ya kuwasili jijini London  Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza



 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakipokewa mara baada ya kuwasili jijini London leo Machi 30, 2014 kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Serikali ya Uingereza.




 

No comments:

Post a Comment