Pages

Monday, March 31, 2014

RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

 Rais Dkt Jakaya \Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya  siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe David Cameron
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment