Haijajulikana
Podolski alipataje hizi picha ila huyu hapa chini ni Mtanzania alievaa
jezi ya staa huyu wa Arsenal ambapo hiki kitendo kimemfanya Podolski
kumsifia huyu shabiki kwamba jezi imemtoa freshi na kuitakia kila la
kheri Tanzania.
Hiyo hapo juu ni kwenye instagram ambapo picha hiihii pia aliipeleka kwenye page yake ya twitter.
No comments:
Post a Comment