Baada
ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye
amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama.Paul
na Anita wana mtoto wa kiume na harusi yao imehudhuriwa na watu kama
Omotola,D Banj,Naeto C,Banky W,Ini Edo,Iyanya na wengine wengi.
Wananchi Fuoni wajitokeza Kupiga Kura kuchagua mbunge wao
-
*Mkazi wa Shehia ya Migombani katika jimbo la Fuoni akipiga kura leo
kumchagua Mbunge wa jimbo hilo.*
*Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taiofa ya Uchaguzi, Jaji ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment