Baada
ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye
amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama.Paul
na Anita wana mtoto wa kiume na harusi yao imehudhuriwa na watu kama
Omotola,D Banj,Naeto C,Banky W,Ini Edo,Iyanya na wengine wengi.
No comments:
Post a Comment