skip to main |
skip to sidebar
YANGA YAPIGWA 2 KWA 1 NA MGAMBO
1. Juma Kaseja -29
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" -23
5. Kelvin Yondani -6
6. Frank Domayo -18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga -26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa 17
11. Emmanuel Okwi -25
Subs:
1. Ally Mustapha "Barthez" -1
2. Juma Abdul -12
3. David Luhende -3
4. Athumani Idd "Chuji" - 24
5. Nizar Khalfan -16
6. Hamisi Kizza - 20
7. Hussein Javu - 21
Dakika ya kwanza, Mgambo JKT wanapata bao la kwanza kupitia kwa Fully Maganga
Dakika ya 15, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans
Dakika ya 30, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans
Mohamed Neto anatolewa nje baada ya kukutwa na hirizi ndani ya bukta
Mpira ni mapumziko, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans
Dakika ya 60, Mgambo JKT 1 - 1 Young Africans
No comments:
Post a Comment