Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, April 17, 2014

ABIRIA WATATU WAKAMATWA NA MABEGI YALIYOJAA BANGI KWENYE BASI LA NEW FORCE DODOMA


Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.
Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime, wamekamatwa leo mchana wakiwa wanasafirisha Debe ishirini za bangi

No comments:

Post a Comment