
Dimaond Platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za MTV Africa na amechaguliwa kuwania vipengere viwili kimoja kikiwa ni Best Male na kingine kikiwa Best Collaboration ambapo katika vipengere hivyo amepambanishwa na wasanii wakubwa na maarufu barani Afrika.
Best Male
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
“Diamond (Tanzania)“
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Best Collaboration
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
“Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)“
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)
Ni wakati wako wewe kama mtanzania na mpenda muziki wa Bongo na unapenda maendeleo ya muziki wa Bongo basi fanya kumpigia Diamond Platnumz aweze kuibuka mshindikatika tuzo hizo kwa kutembelea tovuti ya www.mtvbase.com au unawezza kumpigia Diamond kura moja kwa moja kwa kubofya HAPA kama Best Male au katika kipengere cha Best Collaboration basibofya HAPA
chanzo swahilitz
chanzo swahilitz
No comments:
Post a Comment