Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWZZ : HALI TETE ENEO RUVU DARAJANI MUDA HUU MAJI YAZUIA MAGARI

Msururu Mkubwa wa Magari barabara ya Chalinze Mlanzidi Eneo la Ruvu Darajani,Hali hii anatokana na Mvua Zinazozidi Kunyesha hali iliyopelekea Maji kujaa na Kukatiza Juu ya Barabara,Kwa usalama magari yote yamesimama kusubiri hali kutengemaa.

Maji yaliojaa pande zote za Barabara ya Morogoro chalinze Eneo la Ruvu darajani muda huu.Maji ni Mengi Mto haujulikano unapoanzia na kuishia maji yamejaa pande zote za barabara,Magari yamesimama na hakuna Gari linalovuka daraja la Ruvu kwa sasa.





No comments:

Post a Comment