Wadau, "Nakushukuru mwenyezi MUNGU kwa kunifikisha siku hii ya leo Alhamisi Aprili 24 ambapo naadhimisha siku ya kuzaliwa, ni kwa neema yako tu mimi kufika hapa nilipo, nakuomba unisaidie kwa kila kitu katika maisha yangu nizidi kukutumikia vyema".
Nawashukuru wanalibeneke wenzangu wote, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kwa kuniunga mkono katika siku hii muhimu kwangu, Asanteni Sana
Edwin Moshi,
C.E.O
Eddy Blog
BENKI YA TIB YATENGA BILIONI 30 KWA AJILI YA KUKOPESHA WAJASIRIAMALI
WANAWAKE.
-
BENKI ya Maendeleo ya TIB ilishiriki katika mkutano wa kifungua kinywa wa
Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) uliowakutanisha
Wajasiriamal...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment