skip to main |
skip to sidebar
HOT NEWSS::GARI YA MCHANGA YAPINDUKA NA KUIFUNIKA GARI DOGO DEREVA AKIWA NDANI YAKE MAKONGO JUU
Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na
gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la
wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa
kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa humo tangu saa 11 asubuhi.
Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada.
Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.
Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari
Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado akiwa yumo ndani.
Gari la mchanga lililopata ajali likionekana kwa mbali
Baadhi ya mashuhuda na askari wakishuhudia tukio hilo
Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa
Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa
Gari la wagonjwa nalo lilikuja kwa ajili ya kutoa msaada
Gari lililopinduka na kulalia gari dogo
Gari lililopinduka na kulalia gari dogo
Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki
Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki.Habari na Jamvi lahabri blog
No comments:
Post a Comment