Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Ndugu
Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili mjini Bahi kushiriki mkwenye sherehe
ya uzinduzi wa uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi tarehe
14.4.2014. PICHA NA JOHN LUKUWI
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma
Kikwete akiwapungia wanafunzi na wananchi wa Bahi waliohudhuria sherehe
ya uzinduzi wa saratani ya shingo ya kizazi mjini hapo tarehe 14.4.2014. Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma
Kikwete akiwasalimia wanafunzi na wananchi wa Bahi waliohudhuria sherehe
ya uzinduzi wa saratani ya shingo ya kizazi mjini hapo tarehe
14.4.2014. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mganga wa Macho
wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Frank Magupa, wakati alipotembelea maonesho ya
kitabibu yaliyofanyika sambamba na upimaji wa saratani ya shingo ya
kizazi kwa wanawake wa wilayani Bahi tarehe 14.4.2014. Mamia
ya wananchi wa Bahi wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa
zinatolewa na viongozi wa wakati wa sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi iliyofanyika huko Bahi, Mkoani Dodoma
tarehe 14.4.2014. Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Kebwe Staphen Kebwe akitoa salamu
hotuba kwa niaba ya wizara ya Afya wakati wa uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi huko wilayani Bahi. Mamia
ya wananchi wa Bahi wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa
zinatolewa na viongozi wa wakati wa sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi iliyofanyika huko Bahi, Mkoani Dodoma
tarehe 14.4.2014. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya
Bahi muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani
ya shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma
tarehe 14.4.2014. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya
Bahi muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani
ya shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma
tarehe 14.4.2014.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya
kizazi kwa wanawake wa Wilaya ya Bahi tarehe 14.4.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akionyesha vifaa mbalimbali
vinavyotumika na madaktari wakati wa kuwapima wanawake ili kufahamu kama
wana maambukizi ya saratani ya shingo ya kizazi wakati wa uzinduzi wa
kampeni hiyo wilayani Bahi tarehe 14.4.2014.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika na wacheza ngoma na wananchi
mbalimbali wa wilaya ya Bahi mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi kwa akinamama. Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti Mwakilishi wa Shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC1) Bwana Hamis Mwege kwa kazi kubwa ya
kuelimisha umma kuhusu kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya
kizazi kwa wanawake hapa nchini. Vyombo vingine vilivyopata cheti ni
Channel Ten na ITV.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi wa Bahi mara baaada ya
kuzindua rasmi mapambano ya kutokomeza maambukizi ya saratani ya shingo
ya kizazi kwa wanawake
No comments:
Post a Comment