Pages

Friday, April 25, 2014

MHE. MWIGULU NCHEMBA AWASIRI WASHINGTON DC

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. (Riberata Mulamula kulia)akiwaongoza ma afisa wa ubalozi  Paul Mwafongo kushoto na Suleiman Saleh wa pili kutoka kushoto kumpokea Naibu Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba alipowasili leo katika uwanja wa kimataifa wa Dulles kwaajili ya kuungana na Watanzania waishio nchini Marekani katika maazimisho ya miaka 50 ya sherehe ya muungano.

No comments:

Post a Comment