Pages

Wednesday, April 23, 2014

PICHA JINSI MWILI WA MAREHEMU MOSHI CHANG'A ULIVYOAGWA NYUMBANI KWAKE MBAGALA JIJINI DAR


 Waombolezaji wakiwa wanalishusha Jeneza lilibeba Mwili wa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Rukwa Moshi Chang'a Nyumbani Kwake Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es Salaam jana Aprili 22, 2014.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kushoto na Mkewe Tunu Pinda wakitoa Heshima zao za Mwisho Mbele ya Jeneza lililobeba mwili wa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Rukwa, Marehemu Moshi Chang'a Nyumbani kwake Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es Salaam jana Aprili 22, 2014.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Familia ya Marehemu Moshi Chang'a Nyumbani Kwa marehemu Mbagala Kibonde Maji jijini Dar es Salaam jana Aprili 22, 2014.

No comments:

Post a Comment