Pages

Wednesday, April 23, 2014

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WIZARA YA FEDHA

IMG_0083  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini  Zanzibar   [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_0087 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Khamis Mussa Omar,akiwasilisha mpango wa matumizi ya fedha katika kikao cha  utekelezaji wa mpamgo wa kazi  wa Wizara hiyo katika kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar  chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Juma Ameir Hafidh.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment