Pages

Saturday, April 5, 2014

PICHA ZA CHADEMA WAKIFUNGA KAMPENI ZAO JIMBO LA CHALINZE

Muda huu ndio mkutano unamalizika hapa chalinze mjini na huu ndio umati wa watu ambao walikusanyika kumsikiliza katibu mkuu wa chadema DK SLAA alipokuwa anafunga kampeni leo

mbunge  john mnyika alikuwepo na alihutubia wananci ambapo amewataka wananchi kutokufanya makosa katika kuchagua mbunge wao akawataka wampe kura ya ndio mathayo torongey
peple powerr

DK SLAA aliunguruma katika kampeni hizo muda mshache uliopita ambapo amesema kuwa watu wa chalinze wasifanye makosa katika kumchagua mbunge wao,anasema kuwa ni ngumu sana kwa mtoto wa raisi kufanya kazi ambayo baba yake alishindwa kuifanya kwa miaka zaidi ya kumi
muda huu ndio anaondoka katika uwanja huu
anasalimiana na wanachama kabla ya kuondoka kwenye kazi nyingine


No comments:

Post a Comment