Wananachi wa kata ya Mwembesongo wakitemebe kwenye maji baada ya barabara ya kichangani kujaa maji
wakitoa maji yaliyojaa dukani kwao
Bi,Hasma Ndehele ambaye ni Kigogo wa CCM kata ya Mji Mpya akiwa hoi baada ya mafuriko kuvamia nyumbani kwake muda huu
Masela wakijaribu kufukua mifereji kwa majembe
Bodo boda zikipita kwa shida kwenye barabara hiyo inayotoka kituo ch polisi Msamvu kueleka kichangani
Wanafunzi wa shule ya Msingi mwenmbeso
wakishikana mikono kueleka nyumbani kwao baada ya maji yanayovuma kwa
kasi barabara ya Kichangani kuwashinda nguvu
HAIJAWAHI kutokea kwa miaka ya hivi
karibuni mkoani hapa mvua kunyesha mfurulizo ambapo toka jana majira ya saa saba mchana mpaka leo
mvua inaendelea kunyesha mfurulizo jambo lililosababisha mitaa mbali
mbali ya Manispaa hiyo kukumbwa na mafuriko.
No comments:
Post a Comment