Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Philemon Ndesamburo (kulia) naProfesa Kulikoyela Kahigiwakiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Jussa (kushoto),Macharo Othman Said(katikati) na Nassor Ahmed Mazrui wakiwasili leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye leo mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Tundu Lissu akiwasilisha maoni ya wachache leo kuhudhuria kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo kwenye Ukumbi mjini Dodoma.Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Anne Makinda (kushoto) na Pandu Ameir Kificho(kulia) wakifuatilia mjadala kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati namba sita wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Wassira akiwasilisha maoni ya Kamati yake leo mjini Dodoma kwenye kikao cha ishirini na mbili cha Bunge hilo.
Picha na Bunge Maalum la Katiba
No comments:
Post a Comment