Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, April 24, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA::AUAWA NA WANAINCHI AKITUHUMIWA NI JAMBAZI


Askari wa Jeshi la Polisi Kituo Kikubwa Tabora mjini wakiwa wamebeba mwili wa mtu mmoja aliyeuawa kwa kupigwa na wananchi kwa tuhuma za wizi huku mwenzake akiponea chupuchupu
 Maiti ya mtu mmoja aliyeuawa akitambulika kwa jina la LUNJA ambapo wananchi walimshambulia akiwa na mwenzake majira ya saa nne asubuhi

Emmanuel Samwel baada ya kusamilika kifo kufuatia wananchi wenye hasira kuwavamia na kuanza kuwapiga wakiwatuhumu kwa ni majambazi katika eneo la Kata ya Malolo manispaa ya tabora

No comments:

Post a Comment