Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akitoa hutuba ya ufunguzi wa maonyesho hayo katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha ngoma toka Jeshi la Kujenga Taifa kikitumbuiza kwenye uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya Mnazi mmoja
Waziri wa Makamu wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Mohamed Abood akiongea wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar Es SaLAAMchungu na kibuyu vilivyotumika na waasisi wa Muungano kuchanganya udongo mwaka 1964, vinapatikana katika banda la Ofisi ya Makamu wa Rais.Mgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akipata maelekezo toka kwa Afisa wa Muungano Cecilia Nkwamu alivyotemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais katika viwanaj vya mnazi mmojaMgeni Rasmi wa maonyesho ya miaka 50 ya Muungano ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Seif Sharif Hamad akiwa ndani ya Banda la Ofisi ya Makamu wa Rais akipata maelekezo juu ya chungu na vibuyu vilivyotumika kuchanganya udongo wakati wa Muungano wa Tanganyika na Zanziabr mwaka 1964Wananchi mbalimbali waliojitokeza kutemebelea banda la Ofisi ya Makamu wa Rais wakiangalia majarida mbalimbali bandani hapo na kusaini kitabu cha wageni.
No comments:
Post a Comment