Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja]Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi ya maafisa wa idara mbali mbali zaOfisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Robo tatu ya mwaka Julai-Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi,mwenyekiti wake akiwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.]Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KANDA YA MTWARA YASHIRIKI MAADHIMISHO
YA SIKU YA SHERIA NCHINI
-
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kanda ya Mtwara, ni moja ya wadau
walioshiriki kwenye siku ya Sheria nchini ambayo kimkoa imeadhimishwa
katika viwanj...
5 minutes ago
No comments:
Post a Comment