Serikali ipige marufuku makampuni ya kutengeneza Mabango kuweka mabango karibu na Barabara ya wekwe mbali na barabara mita 20 kutoka Barabara kuu hili limeanguka Round about ya Royal Oven njia ya kwenda Lugalo Golf course (Avacado)Na hii siyo mara yakwanza mabango kuanguka kunasiku pale katika ya seilender bridge na Kinondoni lilianguka uzuri kulikuwa katika mikoko!
No comments:
Post a Comment