Gari
aina ya Rav 4 ikiwa imetumbukia mtaroni katika eneo la Ilala Amana,
Barabara ya Uhuru na kupelekea kuharibika.Hakuna taarifa ya majeruhi
wala aliyepoteza maisha ambayo tumeweza kuipata katika eneo hilo la
tukio
Gari likiwa mtaroni.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment