Pages

Tuesday, May 20, 2014

HATIMAYE JIJI LA MBEYA WAFANIKIWA KUMKAMATA YULE CHATU ALIYEKUWA ANATISHIA MAISHA YA WANAINCHI TAZAMA PICHA NA VIDEO HAPA



Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..
Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka





Mtaalamu wa Kukamata Nyoka


HABARI KWA HISANI YA MTANGAZAJI WA MBEYA FM STANSLAUS LAMBAT

Mtaalamu wa Kukamata Nyoka

Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia



Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo.... Tazama Video Hii

No comments:

Post a Comment