Pages

Tuesday, May 20, 2014

POLISI TABORA WAKAMATA RISASI 307,BUNDUKI NA SARE ZA KIJESHI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda leo tarehe 19/05/2014 amekutana na waandishi wa habari na kuongelea mambo mbalimbali hasa matukio ya kukamatwa kwa risasi 307 za SMG, tatu za shortgun na bunduki aina hiyohiyo, tano za Rifle na bunduki yake. Pichani ni Kamanda Kaganda akionyesha sehemu ya risasi hizo pamoja na sare za Jeshi zilizokamatwa mkoani humo.Picha/Habari na FAKIH ABDUL - Mwandishi wa habari wa jeshi la Polisi mkoa wa Tabora.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiwaeleza waandishi wa habari kuhusiana na tukio hilo.



Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akiongea na Waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment