Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 21, 2014

HUYU NDIE MALKIA WAFILAMU TANZANIA,ANASUBILIWA KWA HAMU NA UJIO WAKE MPYA




salma jabu nisha awapa shida wasambazaji kupokea oda yaani amekuwa mtu wa ajabu kwani akitangaza anatoa filamu sokoni kunaanza fujo sasa hii zena na betina imekuwa mpaka kero kwa wamachinga kwa kuiulizia,inatokana na ubora wa kazi zake mpaka sasa aliyebaki ni yeye tuu anatia mshawasha sokoni.

No comments:

Post a Comment