Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 14, 2014

Kutana na kijana mwenye miaka 18 mcheza kikapu mrefu kuliko mchezaji yoyote wa NBA, kamzidi mpaka Hashim, anavaa viatu size 22


Elhadji Tacko Fall, ni kijana mwenye umri wa miaka 18 anaecheza kikapu katika timu za high school. Tako ni mcheza kikapu mrefu kuliko wote kwenye timu za NBA na bado anaendelea kukuwa, ambapo anasemekana kuongeza urefu wa nchi mpaka mbili.
"Nimeongezeka nchi tatu ndani ya miezi 8 na Dr wangu kaniambia naweza kuongezeka nchi mbili zaidi kwasababu bado nakuwa." amesema Tacko.





Tacko pia ana mguu mkubwa kiasi kwamba anavaa vatu size 22 na mkono wake ni mkubwa wenye urefu usawa wa mguu wa kijana wa kawaida, na akinyoosha tu mkono wake anagusa kikapu bila hata ya kuruka.


cha kufurahisha zaidi kijana huyo mdogo amepasi masomo yake kwa G.P.A 4.o, na anapenda kuwa biochemist, na bado hajaamua ataenda college gani

No comments:

Post a Comment