Pages

Monday, May 19, 2014

MWILI WA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA KUAGWA J’TATU NA J’NNE DAR

Mke wa marehemu Adam Kuambiana, Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi akifarijiwa.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani Bunju B, Dar.


Msiba upo hapa Bunju B.
MWILI wa Mwigizaji na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana utaagwa kesho Jumatatu nyumbani kwake Bunju B, Dar na siku ya Jumanne asubuhi utapelekwa Viwanja vya Leaders kuagwa na mashabiki wake. 
Taarifa hizi zimetolewa na mke wa marehemu, Janeth Rithe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi (Chadema)!

No comments:

Post a Comment