Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 21, 2014

SIKU KAMA YA LEO 21 MAY TANZANIA ILIPATA PIGO KWA KUPOTEZA MAISHA YA WATU ZAID YA MIA IKIFATIWA TUKIO LA KUZAMA KWA MELI MV BUKOBA

Ikumbukwe tarehe 26 may 1996, Nchi ya Tanzania ilipata pigo baada ya kufatiwa na tukio la kuzama kwa meli ya mv bukoba, ambapo tukio hilo lilisababisha kupotea kwa maisha ya watanzania wengi sana, mungu azilaze roho zaarehemu hao mahali pema peponi amin.

No comments:

Post a Comment