Ikumbukwe tarehe 26 may 1996, Nchi ya Tanzania ilipata pigo baada ya kufatiwa na tukio la kuzama kwa meli ya mv bukoba, ambapo tukio hilo lilisababisha kupotea kwa maisha ya watanzania wengi sana, mungu azilaze roho zaarehemu hao mahali pema peponi amin.
No comments:
Post a Comment