Sehemu ya headlines za karibuni za kocha wa Chelsea Jose Mourinho ni pamoja na mbinu yake ya kujaza wachezaji golini ambayo imepewa umaarufu wa ‘basi la Mourinho’Baada ya kulaumiwa na baadhi ya makocha wenzake pamoja na wachambuzi wa soka, watu hawajalala na badala yake wamekua wakitengeneza katuni au mabango ya staili ya basi inayotumiwa na kocha huyu.
No comments:
Post a Comment