Bao pekee la John Bocco lililofungwa kipindi cha
kwanza limeifanya Taifa Stars iibuke na ushindi katika mchezo wa kwanza
kutafuta nafasi ya kuingia kwenye makundi ya kusaka nafasi ya kwenda
Morocco mwakani katika kinyang’anyiro cha kombe la mataifa ya Africa.
Hizi ni baadhi ya taswira kutoka uwanjani.
Timu zikiingia uwanjani
Kocha wa Taifa Stars Mart Nooij akiingia uwanjani
Timu uwanjani zikisubiri kukaguliwa
Rais wa TFF Jamal Malinzi akilisamia benchi la ufundi la Taifa Stars
Krosi ya Thomas Ulimwengu
John Bocco aliwanyanyua mashabiki wa Taifa Stars
Thomas Ulimwengu akijaribu kumtoka beki wa Zimbabwe
Ulimwengu alikuta mwingi akichezewa madhambi na wachezaji wa Zimbabwe
Heka heka langoni
Pamoja na Zimbabwe kumiliki mpira kwa muda mrefu kipindi cha kwanza Stars iliendelea kuwa imara
Mashabiki walikuwa mstari wa mbele kuishangilia Taifa Stars
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alikuwa mmoja waliojitokeza kuishangilia timu ya taifa
Mbwana Samata akijaribu kumtoka beki
John Bocco aliendelea kuwa mwiba mkali kwa Zimbabwe
Deogratias Munishi “Dida” alikuwa shujaa wa mchezo
No comments:
Post a Comment