Vijana wawili wakipigana hadharani maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar kisa kikidaiwa ni simu ya mkononi.
KATIKA pitapita ya kamera yetu leo mtaani imewanasa vijana wawili wakipigana hadharani kisa kikidaiwa kuwa ni simu ya mkononi.Vijana
hao walikuwa wakipigana maeneo ya Bamaga-Sinza, Dar ambapo walijaza
watu ambapo ilidaiwa kwamba mmojawapo ni fundi wa bajaji ambaye
aliachiwa simu rehani na kumpa huyo kijana shilingi elfu mbili lakini
baada ya kurudi na kutaka arudishiwe simu yake akakuta amebadilishiwa
hali ambayo ilisababisha washikane mashati na kuanza kupigana huku
wakijaza watu kibao
No comments:
Post a Comment