KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye
hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na
unyama wa hali juu kwa kumuua mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara
ya kwenda Kawe-Beach.
Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu
hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu ndipo walipomkuta mtoto huyo
mwenye jinsi ya kike akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na
puani.
(PICHA ZOTE: DEOGRATIUS MONGELA / GPL)
No comments:
Post a Comment