Leo katika pitapita kwenye kurasa za WAREMBO huko
INSTAGRAM...nimekutana na hichi kiatu cha mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka
K-LYINN..kiudaku
udaku nikaona ngoja ni GUGO bei ya hiki kiatu....Duh kucheki
bei yake nikachoka mwenyewe...ni zaidi ya
gari aina ya VITZ (USED lakini..hizi ndio wabongo wengi
tunazimudu)....Hehehe sio ishu yote maisha...ni zaidi ya shilingi Milioni Tatu
na Nusu (ONLINE) na hapo bado haujaletewa...Kumbuka hiki nikiatu tu, bado
gauni, pochi...nywele....nk...Dah huyu si anatembea na M-KUMI kabisa.... Jionee
mwenyewe hapa
Kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM alikuwa ameweka picha hii:
No comments:
Post a Comment