Pages

Thursday, June 12, 2014

HOT NEWSSSSSS;;;MOTO WATEKETEZA SOKO LA KARUME JIJINI DAR PICHA 5 HIZI HAPA JIONEE



Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yameungua na moto.

 Moto ulikuwa ni mkali, na kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana. Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme zinaungua pia. Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.

No comments:

Post a Comment