Mabanda ya wamachinga eneo la Soko
Karume yameungua na moto.
Moto ulikuwa ni mkali, na kusambaa na sasa
unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana.
Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka
bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa. Nguzo za umeme
zinaungua pia. Kuna umati wa watu mkubwa, baadhi wanalia kwa uchungu
wakiwa wamejishika kwa kukata tamaa.
No comments:
Post a Comment